Get Free Access
Ayoma Media

Ayoma Media

@ayomamedia7511

🌐 TZ
🌐 English
Sports

Ayoma Media serves its communities by providing news and exclusive interviews. We are the home of trusted news.

FOLLOWERS

362K

AVG. VIEWS ?

3.1K

High Perf.

ENGAGEMENT ?

0.68%

Avg: 4.5%

MONTHLY POSTS

203

Consistent

VIDEOS

1898

Active

EST. PRICE

UNLOCK

Similar Creators

Verified 2 days ago
SANGA TV
SANGA TV @sangatv_ · 258K

Sanga Tv ni Chombo Cha Habari kwa njia ya kidigitali ambapo tumejkita katika kuripoti matukio mbalimbali ya Michezo na Burudani Dawati la Uhariri Sanga Tv e linazingatia haya. 1. kuripoti habari za kweli zilizo haririwa kwa umakini, 2. Kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwahabarisha watazamaji wetu. 3. Kuzingatia maadili ya habari kwa kuhakikisha uwiano na kutoa habari zisizo pendelea upande mmoja. 4.Kujiepusha na utoaji habari zenye udini, ukabila na yoyote yanayoweza kusababisha taharuki. 5. kufanya kazi kwa nidhamu na weredi Muongozo kwa watazamaji wetu 1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. 2. Sanga Tv inaweza kufuta maoni ambayo yanaweza kuchochea uvuniifu wa amani au kusababisha taharuki. 3. Sanga Tv inaweza kuzuia mtu asiweze kuona au kuweka maoni kwenye taarifa tunazohabarisha endapo atakiuka taratibu za muongozo huu. 4. Lugha chafu na zisizo na maadili hazirwhusiwi,

ZVP ONLINE TV
ZVP ONLINE TV @zvponlinetv · 273K

Karibu Sana ZVP ONLINE TV Kwa Matukio Mbali Mbali Ya Dini Ya Kiislam Mawaidha, Qaswida, Mihadhara, Maulid Na Matamasha Mbali Mbali Ya Dini Ya Kiislaam Wasiliana Nasi Kwa Namba +255 767 931 036 / +255 713 931 036 Makao Makuu Ni Tabora Mtaa Wa Usagara Kata Ya Tambukareli Pia Dar Es Salaam Na Mikoa Yote Ya Tanzania.

Future TV Online
Future TV Online @futureonlinetz · 209K

Karibu kwenye Future TV Online, nyumbani kwa majadiliano yenye tija, busara, na mafundisho ya kijamii. Chini ya uongozi wa Sudi Dahala (Mr. Future), channel hii imejikita katika kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii yetu kupitia elimu ya mahusiano, malezi, na maadili. Tunachokifanya hapa: Future TV Podcast: Mijadala ya kina na wataalamu na watu wenye stori za kusisimua kuhusu maisha na mafanikio. Elimu ya Mahusiano: Kuchambua alama za hatari (Red Flags) na alama chanya (Green Flags) ili kujenga familia imara. Mwenendo wa Jamii: Mahojiano ya mitaani (Street Interviews) kupata maoni ya wananchi kuhusu changamoto za kila siku. Maadili na Busara: Mafundisho yanayolenga kukuza utu na heshima katika jamii yetu ya Kitanzania. Ikiwa wewe ni mdau wa maendeleo ya kijamii, mpenzi wa podcast zenye mafunzo, au unatafuta mwongozo wa kisaikolojia basi usiache KUSUBSCRIBE Wasiliana nasi: 📧 futuretz002@gmail.com ] 📱 Instagram: @FutureTVOnline / @SudiDahala 📍 Location: Tanzania

BM TV TANZANIA
BM TV TANZANIA @bmtvtanzania · 441K

Usisahau Ku SUBSCREBE, Ku COMMENT, Ku SHARE Video zetu Tufuate pia Instagram @https://www.instagram.com/bmtvtanzania/ X @https://twitter.com/bmtvtanzania?lang=en Facebook https://web.facebook.com/bmtvtz/ Blog https://www.bmtvtz.com Download (Pakua) App yetu BMTVTZ APP

Manara TV
Manara TV @manaratv__ · 510K

For your Sports, Business, Politics, and Entertainment, with Breaking News in-depth analysis and Exclusive Interviews advertise: manaraonlinetv@gmail.com Contacts: +255768850840

Crown Media
Crown Media @crownmediatz · 381K

Taarifa kwa undani, zenye uchunguzi na uchambuzi wa uhakika SUBSCRIBE SASA HIVI!

Daily News Digital
Daily News Digital @dailynewsdigital · 277K

Channel hii inaendeshwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN), Wachapishaji wa magazeti ya DAILY NEWS, HABARILEO NA SPORTILEO. Karibu na usiache KU- SUBSCRIBE katika Channel hii kwa habari za kweli na uhakika.

EFM TANZANIA
EFM TANZANIA @efmtanzania · 203K

- Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ | 93.7 Tabora 📻 - Follow Us On: INSTAGRAM: Efmtanzania: TWITTER: Efmtanzania FACEBOOK: Efmtanzania: TIKTOK: Edigitali

Optell

📩 View Contact Info

Unlock Full Contact Details

Get direct access to Ayoma Media's management team.