BATTLE TV
@battletv_tz
Mabishano ya kishabiki vijiweni mtaani kimichezo burudani kuhusu watu na vitu unavyo vipenda utavipata hapa battletv/ yaani huyu na huyu nani zaidi timu hii na hii ipi noma njoo ubishane ndani ya battletv hapa ni burudani tu hakuna kumchafua mtu bali tunaendeleza utani wa jadi subscrib battle tv ufurahie maisha yako
FOLLOWERS
171K
AVG. VIEWS
8.8K
High Perf.ENGAGEMENT
2.18%
Avg: 4.5%MONTHLY POSTS
21
ConsistentVIDEOS
123
ActiveEST. PRICE
UNLOCKSimilar Creators
Verified 2 days agoMaulid Kitenge ni mtangazaji mahiri wa habari za michezo kutoka Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Kitenge Media. Mtumiaji mahiri wa mitandao ya kijamii, Instagram, Twitter na Facebook. Kaa Karibu uhabarike.
*Karibu* Zinjibar tv. Fahari ya Zanzibar*
Welcome To the Official Channel of M15- TV Get all the Videos about Sports, Interviews & More MUNGU | JUHUDI | NIDHAMU.
WISPOTI TV NI JUKWAA LA HABARI, MICHEZO NA BURUDANI.
Karibu kwenye Future TV Online, nyumbani kwa majadiliano yenye tija, busara, na mafundisho ya kijamii. Chini ya uongozi wa Sudi Dahala (Mr. Future), channel hii imejikita katika kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii yetu kupitia elimu ya mahusiano, malezi, na maadili. Tunachokifanya hapa: Future TV Podcast: Mijadala ya kina na wataalamu na watu wenye stori za kusisimua kuhusu maisha na mafanikio. Elimu ya Mahusiano: Kuchambua alama za hatari (Red Flags) na alama chanya (Green Flags) ili kujenga familia imara. Mwenendo wa Jamii: Mahojiano ya mitaani (Street Interviews) kupata maoni ya wananchi kuhusu changamoto za kila siku. Maadili na Busara: Mafundisho yanayolenga kukuza utu na heshima katika jamii yetu ya Kitanzania. Ikiwa wewe ni mdau wa maendeleo ya kijamii, mpenzi wa podcast zenye mafunzo, au unatafuta mwongozo wa kisaikolojia basi usiache KUSUBSCRIBE Wasiliana nasi: 📧 futuretz002@gmail.com ] 📱 Instagram: @FutureTVOnline / @SudiDahala 📍 Location: Tanzania
Ukweli Ni Hapa
Choice Sports tv - Sports | TZ | 101K followers
HOME OF SPORTS