Bongo Media
@bongomediaa
East African number one Youtube channel for Entertainment news,Sports as well as Politics News owned By Bongo Media KANUNI NA MUONGOZO Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali. BONGO MEDIA NI CHAGUO SAHIHI ________TUNAWAPENDA________
FOLLOWERS
12.8K
AVG. VIEWS
0
High Perf.ENGAGEMENT
0%
Avg: 4.5%MONTHLY POSTS
0
ConsistentVIDEOS
53
ActiveEST. PRICE
UNLOCKSimilar Creators
Verified 2 days ago(TN NEWS),is one of the best online media in Africa owned by #Tonnyskills and it deal with all news especial sport &entertainment IG @tonnyskills tiktok @tonnyskills No facebook
Get to know how much people in the world are troubled, how they live, how they suffer, Get news from several parts of the world Get entertainment news from across the world See football highlights See animals documentary Get motivation and inspiration Learn about several topics Discover new creative ideas let your mind talk SUBSCRIBE & WATCH ENJOY BILLIONAIRE TV
Damian Innocent Mihayo,, professionally known as Damian Soul, is a Tanzanian singer, songwriter, composer and guitarist. Born and raised Sinza, Dar es Salaam, Damian is one of the most talented musicians in East Africa, performing a variety of musical styles such as Afro Soul, Afro Jazz, R&B, and Afro-bongo flavour fusion. Damian has been gracing the East African airwaves with his soulful vocals in hit songs such as Hakuna Matata, Ni Penzi ft. Joh Makini, Tudumishe Ft. G Nako, Kaumba ft. Vanessa Mdee, Data ft. Nikki wa Pili & Quickrocker (Switcher baba), and Fire Fire. His single Ni Penzi ft. Joh Makini was nominated the best R&B song of the year for the 2015 Tanzania Music Awards. Damian was also a finalist in the 2015 Maisha Super Star, an East African wide talent search held in Nairobi, Kenya. Damian uses his music to spread love and positivity, and to inspire those who listen to him
Channel ya BADO KUNAUSHINDI TV, ni channel ya Kikristo inayohubiri injili, kufundisha mafundisho na kutoa shuhuda za kweli za matendo ya Mungu, Channel hii inamilikiwa na kanisa la TALITHA CUMI lililopo Dodoma jijini - Tanzania. Kanisa la Talitha Cumi linaongozwa kwa misingi ya BIBLIA, kwa kuitii na kuifuata kama kiongozi cha kazi zote za kiroho na kimwili. Channel hii itarusha mahubiri, maombi na maombezi, mafundisho, na shuhuda za kuelimisha na kuinua imani, pamoja na kuleta mada zenye kuhitaji ufafanuzi. Pia kutakuwa na maswali, na mahojiano maalumu yenye lengo la kujenga na kuelimisha kiimani. Tunakaribisha watu wote kusikiliza, kushauri, kiustaarabu na kwa staha. UNAWEZA KUTUWEZESHA KWA KUTUMA SADAKA YAKO KWA Mawasiliano piga +255(0)629 920 640 au +255(0)718 600 557.
News And Entertainment
Welcome to EFATHA TV – Your home for spirit-filled worship, powerful teachings, and life-changing testimonies! Don’t miss out on any of our upcoming events – make sure to Subscribe and turn on the notification bell so you stay updated. Connect with us on all our platforms: Linktree: https://linktr.ee/efathattv YouTube: @efathatv Facebook: @efathatv Twitter: @efathatv Instagram: @efathatv Like | Comment | Share – help us spread the message and grow our community of faith! #EfathaTV #EfathaChurch #WorshipLive #GospelMinistry #FaithInAction #WeBringTheWorldToJesus
Drone pilot capturing Tanzania from above. Support my flights and help me share the country’s beauty from new heights! Subscribe, like & share to support my journey!
Mdau Shupavu Awards ni Jukwaa maalumu linaloendeshwa chini ya taasisi ya Holysmile, likilenga kutambua, kuenzi na kuhamasisha watu wanaofanya kazi za maana katika jamii. Tuzo hizi zinatambua juhudi, kipaji, na mchango wa watu binafsi ambao wanachangia maendeleo ya Jamii. Dhamira (Vision): Kuunda jamii yenye mshikamano na motisha, ambapo jitihada za kila mtu zinazochangia maendeleo za jamii zinathaminiwa na kuenziwa. Lengo (Mission): 🎯Kuthamini watu wanaoleta tija katika jamii. 🎯Kuhamasisha ubunifu, ujitoleaji, na uwajibikaji wa kijamii. 🎯Kuibua vipaji na miradi ya kijamii yenye athari chanya. 🎯Kuhimiza mshikamano wa kijamii na motisha kwa wale wanaojitahidi kuboresha maisha ya wengine. Maadili (Values): 🎯Uadilifu: Kuthamini jitihada na mafanikio kwa uwazi na haki. 🎯Ushawishi Chanya: Kuendeleza mifumo na tabia zinazoboresha maisha ya jamii. 🎯Uongozi wa Kijamii: Kuhamasisha na kuongoza kwa mfano chanya. 🎯Ujumuishi: Kuwajumuisha watu wa aina zote na kuenzi mchango wa kila mmoja.