Gold Of Hope Tv
@gold_of_hope_tv
Kuhusu Gold of Hope TV ni kituo cha habari kilichoanzishwa kwa lengo la kuelimisha jamii na kueneza Injili kupitia mitandao ya kijamii. Tunajivunia kutoa vipindi mbalimbali vya televisheni vinavyohusiana na elimu, huduma kwa jamii, na kuhamasisha imani. Huduma Zetu Live Streaming: Kupitia mtandao tunaendesha matangazo ya moja kwa moja ya vipindi mbalimbali. Video Record: Tunarekodi vipindi vya televisheni na matukio maalum. Audio Record: Tunarekodi maombi, nyimbo na mihadhara kwa sauti. Graphic Design: Tunatengeneza poster za kitaalamu kama vile logo, cover na banner. Photography: Huduma za kupiga picha za matukio, hafla na mahusiano mbalimbali. Huduma za Technology: Tunatoa usaidizi wa kiteknolojia kwa wateja wetu. Maono Yetu Kuwa taa inayowasha mwanga wa matumaini na ukweli kwa watu wa dunia kote kupitia habari, elimu, na huduma bora. Dira Yetu Kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya watu kwa kuwaelimisha, kuwahamasisha, na kuwahudumia kupitia maudhui ya kiroho na kijamii.
FOLLOWERS
3.5K
AVG. VIEWS
222
High Perf.ENGAGEMENT
4.23%
Avg: 4.5%MONTHLY POSTS
7
ConsistentVIDEOS
58
ActiveEST. PRICE
UNLOCKSimilar Creators
Verified 2 days agoPersonal news channel
እንኳን ወደ ደጅ ጠናሁ ሚዲያ በሰላመ መጡ : ይህ ቻናል የተዋሕዶ ልጆችን መንፈሳዊ ሕይወት የሚያንፁ ይዘቶችን ለማቅረብ የተከፈተ ነው። በቻናላችን ላይ፡ መምህራን የሚሰጡ ጥልቅ ስብከቶች ለጸሎት እና ለጾም የሚረዱ የቆዩና አዳዲስ መዝሙራት የቅዱሳን ታሪክ እና መንፈሳዊ ትምህርቶች ይቀርባሉ። አዳዲስ ቪዲዮዎች ሲለቀቁ ወዲያውኑ እንዲደርሶዎት ሰብስክራይብ በማድረግ የደወል ምልክቱን መጫን አይርሱ። ስለሚከታተሉን እናመሰግናለን Welcome to Dej tenahu media! This channel is dedicated to sharing Ethiopian Orthodox Tewahedo Church spiritual content, including powerful sermons (Sibket) and soul-soothing hymns (Mezmur) subscribe for:Daily orthodox sermions spiritual mezmur orthodox church teaching Phone no 0911636818
Hada Channelka soo gashay subscribe no saar https://www.youtube.com/channel/UCKusN5FccujEsXJAJGBwJHw
I'm an editor with a goal of hitting 1 million subscribers! :)❤️ My aim is to craft the most engaging videos I can. To achieve this, I frequently gather and reimagine existing clips to weave fresh narratives. Through my editing skills, I develop themed stories, often focusing on comparisons (such as “A versus B”) or surprising turns with educational tidbits. I believe this approach brings unique value to my audience, adding fresh perspectives beyond the original content I incorporate. However, if you're the owner of any material in my edits and wish to discuss credit or removal, please contact me at the email below. I’m committed to honoring and supporting the work of others.
Welcome to NN videos, I am all about helping people in their real-life situations. This channel will educate more on Health, Business, Relationships, Traveling, How-to, and many more.
PASTOR PRINCE OBASIIKE - People & Blogs | KE | 129K followers
JUDEAN DESTINY KIDS is a Dance Ministry of JUDEAN RECONCILIATION MINISTRIES under Rev Priscilla K.J. located at kinoo adjacent to formerly Jeddy Vision Academy, Opposite ANM Apartments.
Hey guys!...Welcome to my channel. I post entertaining and daily internet trending topics . Kindly watch, subscribe, like, share & turn on the notification bell. Thanks in advance
📩 View Contact Info
Get direct access to Gold Of Hope Tv's management team.