Ngasa Tv
@ngasaonlinetv
Ngasa Tv - News & Politics | 119K followers
FOLLOWERS
119K
AVG. VIEWS
51
High Perf.ENGAGEMENT
2.13%
Avg: 4.5%MONTHLY POSTS
19
ConsistentVIDEOS
199
ActiveEST. PRICE
UNLOCKSimilar Creators
Verified 2 days agoKANUNI NA MUONGOZO YA AHADI TV Ahadi TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi. iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote MUONGOZO: Wafuasi wetu (subscribers) i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ii. Ahadi TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu iii. Ahadi TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. iv. Ahadi TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k
Tanzania Sights & Sounds & Interviews of Prominent Tanzanians at home and abroad
Jamii Digital Live ni channel ya YouTube inayolenga kutoa uchambuzi wa kina wa siasa, maendeleo ya jamii, na matukio ya sasa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Tunakusudia kuwa sauti ya watu, tukileta ukweli unaohitajika ili kuelimisha na kuhamasisha wananchi kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Hapa utaona: Uchambuzi wa siasa za sasa na sera za serikali Ripoti na maoni ya jamii kuhusu maendeleo na changamoto Mijadala na mahojiano na viongozi, wanaharakati, na wananchi Video za moja kwa moja za matukio muhimu (Live) Jiunge nasi, toa maoni yako, na uwe sehemu ya sauti ya kweli ya wananchi!
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. No.0713114698 lengo ni kuhabarisha umma
*Karibu* Zinjibar tv. Fahari ya Zanzibar*
Official media Channel For Alliance for Change and Transparency Tanzania (ACT Wazalendo)
WAKILI TV, ni Television ya mtandaoni (Online TV) inayomilikiwa na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), kwa lengo la kutumika kama njia ya kutolea elimu, muongozo na tafsri ya sheria kwa wananchi na wadau mbalimbali ili kuwapa uelewa wa sheria katika lugha nyepesi na kuifanya jamii iishi kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ya Tanzania.
The Zanzibar Broadcasting Corporation (ZBC) was established officially in 2013, after the House of Representatives passed a bill which was signed by the President of Zanzibar and Chairman Revolutionary Council, Ali Mohammed Shein on 19th April, 2013 as an Act number 4 of 2013. #zbczanzibar #zbc4change #zbctv