Yanga TV
@youngafricanssctv
Hii ni chaneli ya klabu ya Yanga Tanzania inayounganisha mashabiki, Wanachama pamoja na klabu kwa kuweka maudhui yanayohusu wachezaji, viongozi, mashabiki, wanachama, wadau na wapenzi wa Yanga. Tafadhali Subscribe.
FOLLOWERS
1M
AVG. VIEWS
24.4K
High Perf.ENGAGEMENT
2.22%
Avg: 4.5%MONTHLY POSTS
123
ConsistentVIDEOS
1198
ActiveEST. PRICE
UNLOCKSimilar Creators
Verified 2 days agoMwananchi Digital is a Mwananchi Communication Limited channel for news and current affairs. It has great content that include sports, entertainments, hard news and documentaries. It broadcasts in Swahili and English, www.mwananchi.co.tz
Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini. Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake. Kktokuingilia faragha ya mtu. Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa. Mwendokasi Tv "We Run Together "
⚽️🏆🌍 Welcome to the Official Simba Sports Club YouTube channel. Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference Don't forget to subscribe in this Channel. Karibu katika chaneli rasmi ya Klabu ya Simba, Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama magoli bora yaliyofungwa na wachezaji wa Simba,Marudio ya mechi,wachezaji wapya pamoja na mahojiano mubashara ya wachezaji wetu. Usisahau kujiunga nasi . Karibuni sana.
For your Sports, Business, Politics, and Entertainment, with Breaking News in-depth analysis and Exclusive Interviews advertise: manaraonlinetv@gmail.com Contacts: +255768850840
Entertainment, Lifestyle & Sports
Sports & Entertainment Channel, House of Sports News and Interviews, owned by Mpenja Media Company LTD, under Founder and CEO, Baraka Adson Mpenja, Senior Journalist and Commentator of Tanzania Football. Call/WhatsApp!: +255748101101 E-Mail: mpenjatvtz@gmail.com #TunazungumzaMichezo
📻 East Africa Radio | "The Best Music Station" Welcome to the Official East Africa Radio YouTube Channel. Hapa ndipo nyumbani kwa Burudani, Muziki na Mijadala ya kijamii inayovuma zaidi Afrika Mashariki, karibu upate vipindi vyako unavyovipenda, Mahojiano ya kipekee na Wasanii na Habari za uhakika. 🎧 Listen Live Anywhere Usipitwe na vipindi vyetu ukiwa popote Duniani: 👉 www.eastafricaradio.com ⚖️ Disclaimer The views and opinions expressed in the content on this channel are those of the individual speakers or guests and do not necessarily reflect the official policy or position of East Africa Radio. (Maoni yanayotolewa kwenye channel hii ni ya watu binafsi na si lazima yahakisi msimamo wa East Africa Radio). 📱 Stay Connected on WhatsApp Jiunge na Familia yetu kupitia WhatsApp Channel kwa Habari za papo hapo, Matukio ya kusisimua na burudani kiganjani mwako.
Ahsante Kwa Kutembelea Channel Hii, Subscribe Kupata Taarifa Mbalimbali Za Michezo