免费获取访问权限
Ahadi TV

Ahadi TV

@ahaditv19

🌐 TZ
🌐 英语
体育新闻与政治

KANUNI NA MUONGOZO YA AHADI TV Ahadi TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi. iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote MUONGOZO: Wafuasi wetu (subscribers) i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ii. Ahadi TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu iii. Ahadi TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. iv. Ahadi TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k

粉丝数

105K

平均观看量 ?

0

高表现

互动率 ?

0%

平均: 4.5%

月度发布

7

持续发布

视频数量

296

活跃

预估价格

解锁
Optell

📩 查看联系信息

解锁完整联系方式

直接获取 Ahadi TV's 管理团队的联系方式