SWAHILI MEDIA
@swahilionlinetv430
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. No.0713114698 lengo ni kuhabarisha umma
相似达人
2天前已验证NYIKANI是一家在线媒体,报道各种时事新闻,例如政治问题、环境、社区等等。 我们的目标是为面临各种问题的人们提供新闻资讯 #为弱势群体发声
■NEWS|| ENTERTAINMENT|| GOSSIPS|| SPORTS & STORIES za🌟.. ■Best media from East Africa (🇹🇿🇰🇪🇺🇬) ■YPC" "YOUR PERFECT CHOICE!!!.." ■KUWA WA KWANZA KUPATA HABARI ZETU ZENYE UKWELI NA UHAKIKA KWA KUBONYEZA NENO SUBSCRIBE🔔 ... TIKTOK: As #MEGAMEDIATZ🇹🇿 INSTAGRAM As #megamediatz_ Location: DAR ES SALAAM, TANZANIA🇹🇿 powered by God"🙏
KANUNI NA MUONGOZO YA AHADI TV Ahadi TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo: i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi. iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote MUONGOZO: Wafuasi wetu (subscribers) i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake ii. Ahadi TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu iii. Ahadi TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni. iv. Ahadi TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k
Jamii Digital Live 是一个 YouTube 频道,旨在深入分析坦桑尼亚乃至整个非洲的政治、社会发展和时事。我们致力于成为人民的代言人,传递真相,以教育和启发公民关注重要的国家议题。 在这里,您将看到: 对当前政治和政府政策的分析 关于发展和挑战的报道和社区观点 与领导人、活动家和公民的辩论和访谈 重要事件的直播视频 加入我们,发表您的意见,成为真正代表公民的声音!
Tanzania Sights & Sounds & Interviews of Prominent Tanzanians at home and abroad
Bongo Source: Ni chombo cha upashaji wa Habari chenye kufuata misingi na taratibu za taaluma ya habari na mawasiliano, kwa kuzingatia kanuni na sheria zilizopo za upashanaji wa habari nchini Tanzania. Bongo Source inahusika na upashanaji wa habari mbalimbali zikiwemo, Siasa, Jamii, Dini, Burudani pamoja na Michezo. Bongo Source: It is an information sharing tool that follows the principles and procedures of the information and communication profession, based on the existing rules and laws of information sharing in Tanzania. Bongo Source deals with the sharing of various news including, Politics, Society, Religion, Entertainment and Sports.
WAKILI TV, ni Television ya mtandaoni (Online TV) inayomilikiwa na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), kwa lengo la kutumika kama njia ya kutolea elimu, muongozo na tafsri ya sheria kwa wananchi na wadau mbalimbali ili kuwapa uelewa wa sheria katika lugha nyepesi na kuifanya jamii iishi kwa mujibu wa sheria za nchi yetu ya Tanzania.
●Karibu gumzoni! channel yako namba moja kwa Top 10, Burudani, na Habari moto moto. Tunakuletea maudhui ya kipekee na ya kusisimua yanayokupa mtazamo mpya juu ya masuala yanayoendelea. ●Jiunge nasi kwa safari ya kugundua mambo ya ajabu na ya kufurahisha kutoka Tanzania na duniani kote. Usisahau ku-subscribe ili usipitwe na lolote linalotokea #gumzoni